Naungana na Watanzania Wenzangu wote katika kukutakia kheri ya siku yako ya kuzaliwa Mh Rais wetu mpendwa na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. @samia_suluhu_hassan
Mwenyezi MUNGU akulinde na kukupa Afya njema wakati wote ili tuendelee kufaidi matunda ya UONGOZI wako uliotukuka. #T2025SSH🇹🇿
KIJANA MWENZANGU!
✍️Kamwe usikate tamaaa katika Maisha.
✍️Ishi na watu Vizuri.
✍️Mheshimu kila mtu anayepita mbele yako.
✍️Kumbuka ulikotoka na changamoto ulizopitia ili usijisahau.
✍️Sali sana.
MUNGU NI WETU SOTE🙏.
Please remember:
- Your job is the dream of the unemployed.
- Your house is the dream of the homeless.
- Your smile is the dream of the depressed.
- Your health is the dream of those who are sick.
Don't let difficult times make you forget your blessings.
Good sunday!
Mchango wenu Wauguzi na jinsi mnavyo jitoa katika kutoa huduma za Afya Nchini hauna kifani.
Binafsi Naomba kuwapongeza na kuwatia moyo kwa kazi kubwa mnayoifanya hasa leo mnapo adhimisha siku yenu wauguzi Duniani. #HappyNursesDay