@George_Ambangil Hivi nini tofauti ama history ya hizi timu kuitwa majina haya
Barcelona (blaugranas)
Real Madrid ( galacticos)
Bayern munich (bavarians)
@INFLUENCERjr Vipo vingi mno unapata pale parking kuna mwanangu anauza supa ya pweza na kachori unapiga pweza buku supu free kachori saba chenji hamsini inabaki unarudi nduki magetoni π€π€