#TajiriLaKihaya
Sheria Mpya imetoka rasmi 📢*
GN. NO. 158C - "Electronic Transactions (Mandatory Electronic Payments)"
Iliwekwa saini 30th June, 2026 na Waziri wa Fedha *KHAMIS MUSSA OMAR*
*MAANA YAKE KWA KISWAHILI RAHISI:*
Kuanzia sasa malipo haya 9 LAZIMA yafanywe kwa *malipo ya kielektroniki* tu. Pesa taslimu/Cash haitakubaliwa tena.
*MALIPO 9 YANAYOPASWA KUWA ELECTRONIC:*
1. *Usafiri* - Basi la haraka BRT, feri, madaraja, mabasi ya mikoani, taxi za online, ndege, treni, na maegesho
2. *Malls & Burudani* - Maduka makubwa, gym, sinema, ukumbi wa mikutano, viwanja vya michezo, vituo vya mafuta, maonyesho kama Saba Saba na Nane Nane
3. *Elimu* - Ada za shule za awali, msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu
4. *Elimu ya Juu* - Michango ya vyuo na vyuo vikuu
5. *Hoteli & Migahawa* - Malazi, chakula na vinywaji
6. *Utalii* - Malipo yote ya huduma za utalii
7. *Mali* - Kupanga, kuuza au kununua nyumba, kiwanja au shamba
8. *Magari* - Kununua au kuuza gari
9. *Kilimo* - Kupitia vyama vya ushirika AMCOS kwa mazao ya kimkakati: pamba, korosho, kahawa, chai, mkonge, tumbaku + pembejeo na dawa
*VITU 3 MUHIMU KUVIJUA:
1. *Malipo ya Electronic ni yapi?* M-Pesa, TigoPesa, Airtel Money, HaloPesa, Bank Transfer, Card, NMB, CRDB nk.
2. *Kwa nini?* Kupunguza ufisadi, kuongeza mapato ya serikali, na kufuatilia mzunguko wa pesa
3. *Atakaeukiuka?* Biashara itapigwa faini na inaweza kufungwa
*ITAKUGUSA VIPI?*
- Ukinunua chakula hotelini > Lipa kwa simu
- Ukinunua tiketi ya basi la mikoani > Lipa kwa simu
- Ukipeleka mtoto shule > Ada kwa benki/sim
- Ukinunua mafuta > Lipa kwa card/sim
*Kwa kifupi:* Kuanzia sasa "beba pesa mfukoni" kwa malipo makubwa inakwisha pole pole
🚨✍️ Young Africans have signed Comoros international Housseine Said Zakouani on a two-year deal.
The transfer was brokered by Overdose Sport Agency.
Zakouani will now have the chance to feature in the Champions League qualifiers with his new club. 🇹🇿🏆
Kuna a bible verse nimeisahau, watu walimuomba Mungu apigane vita yao, nae aliwajibu, nendeni mkam face adui nami nitawapa nguvu ya kumshinda.
Mungu anataka akukute kwenye mchakato sio umekaa kaa tu kama mbuzi.
Tunatumia pesa nyingi kujifunza ujuzi fulani, mfano sasa hivi kuna hizi AI, unatumia pesa nyingi tu ambayo ungekula nayo bata wikiend, au ungeenda nayo vacation, unalipia tools, unalipia kozi mbalimbali, ili uwe na nondo za kutosha kufanya kazi zako, uwe bora.
Halafu kuna mtu anatokea tu out of nowhere anataka umuelekeze na kumfundisha, ukimwambia alipie anakuona jau.
Hivi mnadhani watu huwa wanapataje hizi nondo, mnadhani wanaokota tu pale mataa ya bamaga?
😀
Gift Orban: "The Premier League is my ultimate dream. Man United, Liverpool or Man City…”. 🔴🇳🇬
“I don’t really like Arsenal that much – it’s like they don’t want to win titles”.
“I want to go somewhere where they win titles”, Gift Orban told @hlnsport via @Sport_Witness.