Siku nyingine ya kumshukuru Mungu na kupaza sauti kwa vijana ambao hadi leo Familia zao hazijui wako wapi, tunawaombea na kuamini watarudi nyumbani salama, Goodmorning X Familia๐
๐จ Manchester United have green light from both Joshua Zirkzee and Matthijs de Ligt to join the club.
Both players have spoken to Erik ten Hag with Man United now ready to advance on club side in the coming days.
Itโs all approved on salary/commission also for Zirkzee.
Tiketi ya ndege ya kumsafirisha Edgar Edson Mwakabela, @Sativa255 kutoka Mpanda hadi Dar es Salaam imepatikana, ametoa kaka @zittokabwe, ๐. Anasubiri tu maelekezo na utekelezaji. Michango yetu tunaweza kuelekeza katika matibabu ya Edgar Mwakabela. Mungu awatie nguvu. MSIOGOPE!