@Em52021Emmanuel umeona hilo la mwalimu tu? tumekosa nafasi ngapi uso kwa uso na kipa? je zile goli mbili tulizoongoza Isamuyo ilikuwaje zikarudi zote na ilibaki kidogo tuongezwe la 3
@RevocatusMagum1 Hapa tusitaje mtibwa wala pamba,, Sisi simba wenyewe ndo tulishindwa kumsimamisha Yanga, tulikuwa na nafasi kubwa ya kumfunga Yanga katika game zote mbili za ligi msimu huu na tumeshindwa kutumia hiyo nafasi,, tumebaki kuombea timu nyingine ndo zimfunge
@ayubu_madenge Kila timu itatajwa kwa Angel yake,, mwandishi wa Congo ataandika kutoka AS vita hadi Atlanta, mwandishi wa Misri ataandika kutoka Pyramids hadi Atlanta,,kwhyo nmemwelewa jamaa kuitaja Yanga kuliko hizo timu zingine