"Gunia la mkaa kutoka kwa mtu anayekata mkaa ni elfu 10, ikija huku sokoni ni elfu 80, hawa wananchi wataweza? maisha ni magumu sana, ningeomba na sisi wabunge tupewe laki moja na hamsini tukakae mbagala mwezi mmoja na watoto wanne tuone kama tutaweza" Mbunge Jumanne Kishimba