KAMA anayoyachukia Yesu Kristo wewe huyachukii; wewe siyo Mkristo. Kama anayoyapenda Yesu Kristo, wewe yanakuchukiza; wewe siyo Mkristo. Ni wakati sasa utafute affiliation.
Mtu mmoja akasema, endapo Yesu akatokea leo akiwa katika mwili akahubiri yale aliyoyahubiri nyakati zile, makanisa yatakuwa ya kwanza kumpinga, kumsulubisha, na kumuua.
Nilikuwa siamini sana, lakini sasa naamini.
Akigusa pesa yao na vitegauchumi vyao na siasa zao, WATAMUUA kifo cha kwenye msalaba lakini watamtundika kichwa chini miguu juu. Wallah nasema!
Mnaosema "Siku zote nilikuwa nakuheshimu" yaani kama vile nilikuomba hiyo HESHIMA. Au isipokuwepo itanipunguzia pumzi. Sihitaji kuheshimiwa na watu wasioweza kupokea maoni yangu kinzani. SMH.
This man wanted to see Trump behind bars, and now he wants a spot in the Admin.
If you think Mike Pompeo should never be in the Trump cabinet, like and repost this.
Ep. 39 Candace Owens responds to Ben Shapiro.
TIMESTAMPS:
(00:00) Candace is attacked – even when she’s right
(4:27) Ben Shapiro’s comments
(12:50) The emotional response to news out of Israel
(23:05) Nikki Haley vs. free speech
(30:34) 2024 predictions