Serikali inahofia nini kupiga marufuku mifuko ya plastiki?
Kaka @JMakamba kuna swali lako hapa.
#ChangeTanzania
https://t.co/0Xe8cuct7X via @MwananchiNews
TANGAZO KWA EIA CONSULTANTS.
Kama hamkupata taarifa awali, nakumbusha kwamba siku ya Jumamosi, tarehe 17 Novemba 2018, saa tatu asubuhi, katika ukumbi wa Millenium Towers, Kijitonyama, nitapenda tuonane sote. Tutapitia upya Registry yenu na taratibu mpya za kazi. Hakuna kukosa.
Wewe ni kiongozi wa familia yako. Usisubiri “mkakati wa viongozi” ili kumuelekeza mtoto wako asikubali vizawadi kwa watu asiowajua au kumfundisha akueleze pale mtu mzima mwingine anapomwambia mtoto “usimwambie baba/mama kuhusu “urafiki” wetu”. https://t.co/HsYPUjMRqB
Nimepata heshima kuonana na mama Debora Mwenda, nikakumbuka kipindi cha watoto cha mama na mwana alichokuwa akirusha Radio Tanzania.
Kile kipindi kilitufanya watoto wa miaka ile tuwe na furaha isiyo kifani.
Ninampa pongezi kwa kazi kubwa aliyofanya ya kutulea kimaadili radioni.
I was born in what was then one of the poorest countries in the world. But my parents had high aspirations for themselves and their children. I became @WorldBank president. Never give up on your dreams. Poverty is not destiny. #InheritPossibility