Wakati ulipoacha kutumia penseli na kuanza kutumia kalamu, hapo ndipo ulikuwa unafundishwa somo kwamba: kuna makosa ambayo si rahisi kuyafuta.
• Fikiri kabla ya kutenda.
Jamani naombeni msaada kwa anaejua mwanasaikolojia yoyote kwa hapa dar nina mdogo wangu anataka kujiua nimemsihi sana ananiambia jua halizami anajiua nahitaji kumpeleka kwa therapist wa kichwa haraka gharama yoyote nitalipia nisaidieni anaejua therapist njoo dm please 🙏
Magari mtaani anasema alinunua shimo la dhahabu mbeya akanunua na karasha akawa anatuma hela tu yaani alikua anachimbia online kilichomkuta wachoji wakamfilimba halijawahi kuzalisha hata mia 🤣