@Japanesebw@bbcswahili Mmmh Sasa wanampigaje maana ninavyo jua Mimi urus ndiyo inapigania katika ardhi ya Ukraine maana yake kama anapigwa agetoka katika ardhi yao kwanza urus anapigana na ulaya pamoja na American Ukraine ni uwanja wa majilibio ya silaha amini ndugu yangu
@VodacomTanzania Yani leo nimeweka 2000 TSH cha ajabu nimekuta mmebadilisha vifurushi eti 2000 dk 55 na 800MB na SMS 10 jamani ivi mnajua mmenichukiza sana Vodacom Tanzania 🇹🇿 nawapenda sana ila kwa hili daah sijapendezwa nalo
@Gabriel06853415@bbcswahili Acha wauane na wao maana kila siku wanatusumbua African yetu huku wakituaminisha ujinga hawa wazungu sio watu wazuli walitoka ulaya wakavami Libia