Hi guys, I need a huge favor. Naomba msaada wenu mkubwa.
Hili tangazo ni la maana sana, siwezi kuelezea kwa kina sasa hivi ila baadae nitawaelezea. Ila ni process ya kupata account zangu za meta (instagram na Facebook)
Naomba mnitumie posti yoyote ile ya Mmarekani yoyote yule, mweusi au Mzungu ambae kawahi kuandika posti yoyote ile akiikosoa serikali ya Tanzania na posti hiyo haikufutwa au kuchukuliwa hatua na meta, posti lazma iwe kwenye mitandao ya instagram au facebook sio humu X.
Sio lazma awe Mmarekani au mzungu, hata awe mweusi ila sio Mtanzania ila awe anaishi hapa Marekani au hata nje ya Marekani.
Yani kwa kifupi posti za foreigners haswa wazungu wakiikosoa serikali ya Tanzania.
Naomba mnitumie kupitia whatsapp +1 424-537-3057
About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder.
Because I know my life is in danger and I’m home alone right now, I decided not to even go near the door or look through the peephole. My husband has always told me not to do that. He said if someone came to kill me, they could shoot me through the door if they knew I was standing there.
So I stayed well away from the door and asked what they wanted. They said they were looking for someone named Louis. I told them no one by that name lives here. They then asked me to open the door because they couldn’t hear me properly. I refused and told them they could speak from where they were.
The moment I said that, they started walking away. I immediately ran upstairs and recorded them from my balcony.
The woman did all the talking. The man didn’t say a word.
As I have informed you all before, the Tanzanian government has commissioned Mexican cartels to kill me. Today, while I was home alone, two Mexicans showed up at my front door.
Everything is being forwarded to the FBI.
If anything happens to me, this is where the investigation should begin.
I think the time has come for me to put away my fear of guns and buy one. Hopefully this week I find the courage to own one.
KISWAHILI
Takribani dakika 10 zilizopita, watu wawili, mwanamume na mwanamke, walifika nyumbani kwangu. Waligonga mlango kwa dakika kadhaa. Mwanzoni sikuitika, nikitumaini kwamba wangeondoka. Badala yake, waliendelea kugonga kwa nguvu zaidi na zaidi.
Kwa sababu ninajua maisha yangu yako hatarini na kwa sasa niko peke yangu nyumbani, niliamua kutosogea hata karibu na mlango wala kutazama kupitia tundu la mlango. Mume wangu amekuwa akiniambia kila mara nisifanye hivyo. Aliniambia kwamba kama kuna mtu amekuja kuniua, anaweza kunipiga risasi kupitia mlangoni akijua nimesimama nyuma ya mlango.
Kwa hiyo nilibaki mbali na mlango na kuwauliza wanataka nini. Walisema wanamtafuta mtu anayeitwa Louis. Nikawaambia hakuna mtu wa jina hilo anayeishi hapa. Kisha wakaniomba nifungue mlango wakidai hawawezi kunisikia vizuri. Nilikataa na nikawaambia wazungumze wakiwa waliposimama.
Mara tu niliposema hivyo, walianza kuondoka. Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu.
Mwanamke ndiye aliyekuwa akizungumza muda wote. Mwanamume hakusema hata neno moja.
Kama nilivyowaeleza hapo awali, serikali ya Tanzania imewaajiri makundi ya wahalifu wa Mexico (Mexican cartels) ili kuniua. Leo, nikiwa peke yangu nyumbani, Wamexico wawili walifika kwenye mlango wa nyumba yangu.
Taarifa zote zinawasilishwa kwa FBI.
Ikiwa chochote kitanitokea, uchunguzi unapaswa kuanzia hapa.
Nadhani muda umefika wa mimi kuacha kuogopa silaha na sina budi kununua silaha wiki hii ili mtu akigonga tena mlangoni naenda mlangoni na bunduki.
Tanzania police arrest Samia Suluhu and Mwigulu - they have bankrupted the govt of Tanzania over the past 5 years! They need to explain themselves to the next incoming govt of the People, by the People, for the People
Hawa wawili Samia na Mwigulu wamefilisi nchi tokea 2021 na itabidi watueleze vizuri pesa wamezipeleka wapi!
Mtanielewa kama bado
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Asha Said Hamis a.k.a, Asha Kimambi. Mwanamke wa Kimakonde kutokea mkoa wa Lindi, aliewaletea Watanzania kiumbe kinaitwa Mange Kimambi.
Nothing calms my heart kama napopokea picha za mama yangu mzazi kutoka kwa ndugu zake…… I hope she is proud of the woman I turned out to be.
Below is Meta’s own admission, published through its transparency disclosures, that it was pressured by the Tanzanian government to remove content posted by activists and to delete their accounts altogether.
I am the U.S.-based user referenced in these disclosures. All three reports refer to me, @MariaSTsehai, and @Sativa255.
This should concern every American based activist who values free speech.
When a foreign government can pressure a U.S. technology company into silencing voices that are speaking out about human rights abuses, It becomes a direct challenge to the principles of free expression that America was built upon.
The U.S. government cannot allow foreign governments to exercise this level of influence over American technology companies. If authoritarian regimes can dictate who is allowed to speak on U.S.-based platforms, then the rights of American users and the integrity of America’s digital public square are at risk.
@POTUS@realDonaldTrump@SenatorShaheen@SenTedCruz@SenateForeign
BREAKING: VIDEO MPYA. NEW VIDEO EVIDENCE OF THE VIOLENCE THAT TANZANIANS ENDURED DURING THE INTERNET BLACKOUT UNDER SAMIA SULUHU ORDERS.
WATANZANIA AMBAO MLIKUWA MNAOGOPA KUACHIA VIDEO, PLEASE NITUMIENI ILI DUNIA IONE ILI TUPATE MSAADE WA NJE!!!!! WhatsApp +1 424 537 3057
Hii video ndio sababu sitokaa kurudi tena kwenye umbea mpaka haki ipatikane Tz. I feel like nina deni kubwa la kuhakikisha hivi vifo vinapata haki na vinaleta haki kwenye nchi. This video ndio sababu I will never abandon the movement.
Kwa mara ya kwanza leo naposti full clip.
Video ya kwanza ndio original video. Video ya pili ndio video niliowapostia Watanzania, nilikata jina langu. I did this to a number of videos za Arusha. For some reason vijana wengi wa Arusha walikuwa wanasema “Dada Mange ona wanatuua” au “Mtumie Mange Kimambi aone”. Nitaachia na video zingine nilizokata jina langu.
The reason I’m posting this today ni sababu wauwaji wanalipa watu kusema kuwa hawa vijana walilipwa.
@SuluhuSamia kwanini hawa vijana hawakuita jina la waliowalipa waandamane? Instead wanaita jina la dada yao aliewapa elimu ya umuhimu wa kuandamana ili kudai haki kwenye nchi yao?????? Au niliwalipa mimi???
Vijana wa Tanzania naomba mjue, I’m in this fight mpaka haki ipatikane Tz au mpaka siku nakufa…… Hakuna kitu kingine nitafanya kwenye mitandao zaidi ya kudai haki juu ya vifo hivi….
For so many years I misunderstood this man because im a LIBERAL who gives donations to DEMOCRATS., vote blue to be precise.
No American president would have stepped in to help Nigeria with this crisis,not because they didn’t want to, not because they didn’t see how it would benefit America by making a new ally but because they feared their party losing the November mid term elections.
This man @POTUS is sacrificing mid term elections just to make the world SAFE AGAIN!!!!!!!!!!! AMERICANS NEED AND MUST reward him and his party for this sacrifice.
Americans rightfully hate wars, but what Trump is doing today is needed in-ORDER to make America -Iranian nuclear safe 10-20 years from today.
If Iran ever gets a nuclear weapon the 1st country they would erase from planet earth is the US NOT ISRAEL….. You saw it a few weeks ago, they bombed UAE way more than Israel. It’s not about who they hate most but about VENGEANCE AND JEALOUSY . NEW YORK or LA would got first….::::
@realDonaldTrump PLEASE MAKE TANZANIA GREAT AGAIN!!!!!!!!!! WE WERE THE FASTEST GROWING ECONOMY IN AFRICA. If no one intervenes we will become the fastest regressing economy, only because 1 person decided to kill over 10k citizens in order to be president . How can the entire WORLD standby and watch while one UNEDUCATED STUPID woman destroys African’s most stabilized court?? HOW????
@realDonaldTrump please help Tanzania too!!!! Please! No bombs or war will be needed there. Just a MADURO operation will do the job to save our beautiful MOTHERLAND country.
I think wanasiasa wote wa upinzani, wanaharakati wote na yoyote Tz ambae hana uhakika na usalama wake ni lazma watumie hii app inaitwa life360.
Niliijua hii app kupitia crime show inaitwa 2020. Polisi hapa Marekani walimpata mtu aliemteka na kumuua msichana mdogo wa miaka 16 kwa kutumia hii app. Huyo msichana na rafiki zake close walijiunga na hii app wakawa wana trackiana, alipopotea wenzie wakawapa polisi data zake za kwenye hii app. Polisi wanatumia app kujua the exact moment and location aliyopotea.
Mimi naitumia kuwa track watoto wangu 24/7. Kenzo haipendi hii app ila hana choice. Na pia naitumia kwa shemeji yenu kuni track.
Hii app inatrack kila kona mtu anapoenda na it’s tuma allert kwa watu waliopo kwenye circle yako. Yani ukitekwa na simu kuzima inaonyesha kabisa ulitekewa eneo gani na simu ilizimiwa wapi na saa ngapi. Na simu ikitupwa pia inaonyesha iliyopita wapi na saa ngapi.
Yani kwa kifupi ina track kila sehemu ulipokuwa simu nzima, kila barabara uliyopita, kila sehemu uliposimama mpaka dakika unatekwa inatuma alert kwa watu kwenye circle yako. Hata kama ulikuwa unatembea kwa miguu then ukapandishwa kwenye gari inaonyesha mpaka speed ya gari na mwelekeo wa gari inaonyesha.
I wish Polepole au Mzee Kibao wangekuwa na hii app kwenye simu zao, tungejua kwa ushahidi usiopingika walichukulia saa ngapi na exact location waliyochukuliwa na mwelekeo walipoenda. Yani ikiwashwa tu inatuma alert. So muda ule wanakufosi utoe password hii app inaonyesha watu wako mahali ulipo na hata wakiifuta app kwenye simu yako ila tayari alert zimetumwa kwa watu wa circle yako.
Hata ukipata ajali ya gari inatuma message kwa watu wako kuwa umepata ajali na eneo ulilopatia ajali.
Narudia tena wanasiasa wooote wa upinzani na wanaharakati lazma uwe na hii app kwenye simu then add mtu mmoja au wawili unaowaamini ili lolote likikupata tunajua pa kuanzia.
Kwa wazazi, kama unamtoto kaanza ku drive hii app inakwambia mtot anaendesha gari kwa speed gani na hata akigusa simu huku anaendesha inakutumia ujumbe.
Jamani naomba tusisikie tena mtu katekwa Tanzania alafu hakuna mtu wake wa karibu wa kutupa hii tracking. Hii app ina save tracking record ya siku 30.
Siku huyu mzee akifa inabidi msiba ufanyike mwezi mzima.
Sidhani kama Tanzania ina Mzalendo zaidi ya huyu Mzee…. Mzee anaji risk maisha yake ili tu kuisaidia nchi, hana chochote anachopata zaidi ya kupoteza.
Nikiangalia anachofanya huyu mzee nazidi kufarijika kuwa I did the right thing kuacha biashara yangu iliyokuwa inanipa pesa nyingi ili kuwapigania watu ambao wamenipa platform.
Imagine kama Tanzania ingekuwa na wazee kama hawa hata 5 tu. Ila ndo hivyo Warioba yupo peke yake, wengine wote either dead or comprised.
Happy Mother’s Day to my 2 mothers in heaven, @mwelentuli and Asha Kimambi.
Asha Kimambi, alinibeba kwenye tumbo lake na kunileta duniani. Nikiwa around 1-2 years old baba yangu aliachana na mama yangu na kusepa na mimi. Mama yangu hakunitupa ila hakuwa na uwezo wa kupambana na baba yangu juu ya custody. So sijawahi kuishi na mama yangu, Ila nilivyofika kama miaka 6 baba yangu aliniruhusu kumjua mama yangu mzazi na kuwa namtembelea mara kadhaa kwa mwaka.
@mwelentuli alikuja kwenye maisha yangu kwenye kipindi kizito baada ya kumpoteza marehemu baba yangu. Alinichukua mazima na kunipenda utasema kanizaa. Kwa sababu ya mambo yangu kwenye mitandao kila mtu alikuwa anamwambia anitupe sababu nitamletea shida kutokana na heshma na status yake kwenye jamiii ila alikuwa anawaulizaga “nyinyi watoto wenu wakikosea huwa mnawatupa”? Yani alinichukulia kama mtoto wa kuzaa. Mapenzi aliyonipa huyu mama na huku hakunizaa imenifundisha kuwa ni kweli umama sio lazma kuzaa, umama ni mapenzi na malezi.
Naomba pia nichukue muda huu kuwa update juu ya kesi ya mirathi ya Dr. Mwele. Kama mtakumbuka mwaka jana mtoto wake Naomi alikuwa anapambana na familia ya Dr. Mwele pamoja na tapeli Captain Tony Lazaro ambao amekuwa akidai yeye ni mume halali wa Dr Mwele na kwamba apewe mali zake.
Mungu ni mkuu, Naomi aliweza kushinda round ya kwanza, Ndugu za Dr. Mwele wametimuliwa kwenye mirathi kwa aibuuu. Naomi alifanikiwa kushinda sababu ya testimony ya babu yake, Mzee Malecela. Shukurani nyingi zimuendee Mzee Malecela kwa kusimama na mjukuu wake la sivyo matapeli wangemtapeli mtoto kila kitu.
Je kwa sasa kesi iko vipi?sasa Captain Lazaro hajajata tamaa, anajaribu tena kuiba mali zake Dr Mwele. Baada ya mahakama kumpa Naomi muda wa kufanya kikao kingine cha ukoo, ili achaguliwe kuwa msimamizi wa mirathi Naomi akawa anamsubiri Mzee Malecela arudi Tz kutoka kwenye matibu, huku akimsubiri Mzee Malecela basi Captain Tony Lazaro katengeneza documents feki kuwa yeye ndo kachaguliwa na ukoo wa Malecela kusimamia mirathi. Document yenyewe ndio hiyo hapo. So hapa Naomi anakazi mpya ya kuhangaika upya na hii issue ya Captain Lazaro. Huyu Captain Lazaro ni kiboko, hachokiiiiiiii. Kesi atashindwa ila ndo hivyo kesi inazidi kuchukua muda na pesa. Ila tunashukuru sana Lawyer wake, Peter Kibatala anampigania, round ya kwanza Kibatala aliwapiga knockout majizi hii round ya pili atawapiga tena.
Anyways, kwa marafiki au watu wa karibu wa Dr. Mwele ambao mnauwezo wa kumsaidia Naomi kwa ushauri tu au kusaidia expenses za kesi please wasiliana nae whatsapp. Wote tuliompenda Dr Mwele na wote tuliosaidiwa na Dr Mwele tuna obligation ya kumsaidia mtoto wake. Njia pekee ya kumuenzi Dr. Mwele ni kumsaidia mtoto wake kwenye hiki kipindi kigumu anachopitia.
Naomi Maelecela - WhatsApp +255 688 743 200
“You might have all the degrees and academic accolades but if you don't know your people and where we come from as a people, you are still unlettered.” ~ Mzilikazi wa Afrika #WakeUpEverybody ✊🏿
@fatma_karume Shida kubwa ya viongozi wa Afrika:
1. Umasikini
2.Ubinafsi
3.Ulimbukeni
4.Ego
5.Ulafi wa madaraka
NB: Kila kiongozi anahisi yeye ndo ana akili kuliko wale wote anaowaongoza no matter what.