@Dr_AustinOmondi Yes marginalized πππβ¦How were we marginalized when Raila has been part of government in virtually every regime? Watu si wajinga bana we can see the history for ourselves.
@gpdkaluma If you genuinely stand for peace,then condemn violence consistently regardless of who commits it. Do not condemn violence when it suits your political narrative while ignoring the responsibility the comes with your own words, pughaaaaaa...Opondo Kanyuma
#oneday
Mohammed Ali: Nataka kumuambia Kipchumba Murkomen na huyo PS Omollo. Mmezidi kuleta goons, mnataka kuharibu nchi. Leo nakuja kutangaza rasmi na kusema ya kwamba, kama serikali imeshindwa kulinda watu wake, basi ni jukumu la Wakenya kujilinda. Ni wangapi watajilinda? Mtajilinda?
@citizentvkenya ni ono la kutafakari mno. Ya kwamba vijana hujitokeza kwenye mikutano ya hadhara, ilhali ifikapo kupiga kura, ni wakongwe wanapiga foleni. Je, vijana wamegeuzwa kufuata upepo Ila kwa malipo?