Uongozi na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda mbeya tunatoa pole kwa Mamlaka, Ndugu, Jamaa na Marafiki kwa msiba huu mkubwa wa Mhe Dkt. Faustine Ndungulile.
Dkt. Mbwanji ametoa shukrani hizo mapema leo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe alipotembelea @MZRH_tz kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la wodi ya wazazi na watoto wachanga meta ambao umekalilika kwa 99% na kugharimu bilioni 12.3
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya Dkt. Godlove Mbwanji amemshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa kiasi cha Shilingi Bilioni 5.4 kwaajili ya ununuzi wa vifaa vya jengo jipya la huduma ya mama na mtoto