official page for charity foundation (Non-profitable) aimed at hepling others 🙏🏾pictures are taken for inspiration📸 Karibuni tuungane wote kuisaidia jamii
kwa pamoja wanawashukru Sana kwa kujumuika nao kwa wote mlioshiriki kwa namna yyte mbarikiwe na kuwakumbuka tena kwa wakati mwengine..! Kwa atakaye hitaji kwene kuwaona namba zao za kituo ni hizi 0766 074 140 kituo cha watoto yatima Umrah🙏🏾 until next time (October)
kuwapatia tulichowaandalia kwa yoyote alieshirika kwa njia moja au nyingi tunatoa shukrani sana ..! Wazee na watoto pia wamewashukuru na kuwaombea sana ..! Namba zao za simu ukijitaji kuwatembelea ni 0763325555
Nafsi foundation Siku ya jumapili tulifanikiwa kuwa kuwatembelea wazee na wasiojiweza katika kituo cha nunge kigamboni, kuongea nao pamoja na kuwapatia tulichowaandalia ..! Pia tulifanikiwa kutembelea kituo cha watoto yatima kilichopo mji mwema kigamboni na
“None of you will enter Paradise unless you have faith, and none of you truly have faith unless you love each other.” — [Muslim, Iman (Faith), 93; Tirmidhi, Sifat Al-Qiyamah (Attributes of Doomsday) 56]