Meet brilliant young man Mika Chivala
He has been detained on treason charges by the illegitimare govt of @SuluhuSamia
He led a prayer for the protestors and later joined them 😓
This exceptional young leader is punished for speaming his mind like thousands of others!
Nchi ya kiwaki sana 🚮 huyu Mika ndo kiongozi anayetakiwa eti leo mmemfunga na kumpa kesi - chuki na husda tu maana kimama mtoto wake wa kiume tumeona posts zake anawaza mambo ya ajabu tu na bangi - leo anapewa pesa na kundi la mauaji ananyanyasa vijana bright kama Mika
Eniwei #SamiaMustGo and we will free all political prisoners on #D9
Habari ya BUNGE LA ULAYA Imemfikia mwanetu LARRY MADOWO na CNN.
Kama kawaida Familia imewakilisha tena. Wakati media za bongo zikiwa kimya kimataifa ndio tunaongelewa sisi tuu.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Damu yote hiyo iliyo mwangika na ikawe wino utakaoandika katiba Mpya itakayo hakikisha Ubinadamu wetu, na hali zetu za maisha yana lindwa na kuthaminiwa
Tundu antiphas lisu gereza kuu la ukonga
Repost 780
Na huyu ety ndo waziri wao
Jamaa anathamini Mabasi ya Mke wake kuchomwa zaidi ya Uhai wa watanzania elfu 13 walio uwawa kikatili na Genge lao
Uzuri ICC wameshafika Ngoja tusubiri
Repost 780
MY DIE DAY IS COME🪦:THREAD
“Unaweza ukaniua mimi lakini huwezi kuua mawazo ninayo yafikiria sababu fikra zangu ni kupigania haki hata nikifa kesho au kesho kutwa fikra zangu zitaendelea kuishi wapo mamilioni ya wapigania midingi ya haki wanafikra kama mimi” Deusdedith Soka
Issa Tounkara
Date of birth:20/06/2008 (17)
Citizenship:Mali
Position:Defensive Midfield
Current club:Académie des Étoiles du Mandé
Nicknamed The Malian wall among the best players in Afcon U17, he was left out by the Mali squad for WCU17 Qatar due to injury.
Transition Engine
Positioning
Passing (long and short)
Intelligent
Very good with recoveries
Fast
Tackling
Very good Aerial duels
Adaptability
With these exceptional skills, he got interest from Fenerbache,Villareal,Olympique lyonnais and Midtjylland and so many teams monitored him for their future projects
Video credit
#MALICOMPS
Do you believe Orlando Pirates and
Young Africans SC They Will turn the table around?
Halftime prediction?
Full Time Prediction score ?
Predict and Win branded Thermal Flask, keyholder , Pen or Phone cover with your name on it and Viral Scout logo
Halftime prediction gifts (keyholder & Pen)
Full time prediction gifts(Thermal Flask & phone cover)
5 winners
Note: 🇹🇿 version
WANASIMBA HUYU NDIO MFALME WENU:Thread 🧵
Leo natembeza maiki mtaa kwa mtaa nikichoka natembea mkoa kwa mkoa maana hii inshu ni ya Kitaifa zaidi kila nyumba kila mchezaji sio begginer, Amature wala proffesional wate wanasema yeye ndio Idol/ Role Model wa mabeki wa kulia nchini👇🏾