@iamcleopatricia Vitu vilivyoambatanishwa na huo mkoba tuvione kwanza,
Maana unaweza kumbiwa mkobo M31+ kumbe unaambatana na ka IST kadogo dogo inakuwa siyo mbaya 🤨🤒😃
Leo niliamua kumtrick mke wangu, nikampigia simu na kumwambia,
Ulikuwa unafanya vile ukidhani siwezi kujua ? Sasa nimejua kila kitu.
Kisha nikakata simu 🤣
Sasa nimerudi hapa nyumbani nimekuta hayupo, kabeba kila kilicho chake, sasa sijui tatizo ni nini! 😳😳😳
@epQname Sanaaaaaa.....!
Wewe jisemeshe kila siku kuwa mimi nitakuwa tajiri,
Alafu ukiamuka ni kusoma habari za mange kimambi kila siku.
Uone kama hutajiriki 🤪