Kuna msichana nilioa na ni kama hatupelekani msuri kwa hii nyumba.
Huyo ndio aingie jikoni ni saa nne na nusu.
Na akiingia huko anapika for 2 hrs aki.
Ndio chakula iletwe mezani inabidi aniamshe around saa tano saa sita nikule.
After kula mim naingia room lakini bado yeye anafikiria kuingia bafu kuosha Mombasa road.
Na ujue kamjunior kalikula rongoz kakaondoka mapema.
Kuingia bed ni 1 na anaanza kuwatch mafisi huk tiktok zikiongea anasa.
Siku hizi hata ngono sioni.
Na ujue yeye ni kama Ruto hakuna kazi anafana the whole day ni kukaa tu keja.
Nikikula nje ananipeleka kwa chief