Mume wangu, umenifanya niamini kuwa mapenzi ya kweli yapo kwa sababu kila siku ninayaona kupitia wewe. Kila unavyonijali, kunisikiliza na kunithamini, kunanithibitishia kuwa upendo wa dhati bado upo. We si tu mume wangu, bali ni ushahidi wa kile ambacho moyo wangu uliwahi kuamin
✓✓Kuna wakati katika maisha hakuna atakayekuelewa, hakuna atakayekuunga mkono, na hakuna atakayekuamini hapo ndipo mtihani halisi wa uthubutu huanza
✓✓ Kusimama mwenyewe ni ishara ya ukuaji , mahali ambapo unajifunza kuwa nguzo ya ndoto zako bila kutegemea mabega ya wengine
Thank you for being my constant support, my confidant, and the one soul who understands me even when I can’t find the right words. Life with you is my favourite adventure..
I love you, my hubby ❤️💫..
#husband#love#mylife❤️