UZI: Mkanda wa Jeshi: Ugonjwa huu kitaalamu unajulikana kama shingles au herpes zoster. Ni ugonjwa wa ngozi unaosababishwa na virusi aina ya Varicella-zoster. Ambacho ulikua hujui ni kuwa virusi hivi hivi pia ndio husababisha tetekuwanga "Chicken pox". #BongeLaAfya