Tulikuaga tunapiga kazi sehem siku ya kwanza tukala kwa mkono bila vijiko kuna mwana alikua kama anachota kmke kesho yake tulimtaftia kijiko aisee jamaa alikua anapakia ๐๐
Kuna siku tulkuwa tunaangalia muvi Banda umiza, kuna jamaa akawa anajisifia kwamba anafahamiana na waigizaji wa Ile movie, Wote tukawa hatumsikilizi, Jamaa akatoa sm akampigia mmoja wa waigizaji wa Ile movie.
Huwezi amin yule mwigizaji alipokea sm ndani ya ile movie tunayoangalia