🇹🇿 • Free thinker • Freedom Believer • CEO at @pixenabmedia • Creative Designer • Printing & Branding • Gamer 🎮 • Die Hard @realmadriden fan • I follow back
“Freedom of Speech means not only freedom for the views with which you agree but also freedom for the views which you hate and deplore”
~ Lord Denning (Dec, 1968)
#FreedomOfSpeech#Freedom#Tanzania#Africa#Expression
@ZahirAlly Unguja automatically mtu hata awe maarufu, bac humbleness inamuingia akiwa kwny kile kisiwa coz hakuna anaewasumbua kwa sbb ya umaarufu wao. Nakumbuka mwaka mmoja alikuja Materazzi yule mchezaji wa Italy aliyempiga kichwa Zidane, alikuwa anakuja Kwahani kununua bangi mtaani kabs
@majizo_jr Ukikatiza tu hapo basi unaitwa baby na hapo maelewano tu , unaweza piga mzigo hata kwa buku 5 anakupeleka room ya mauwaji, unakuta mwengine kainamisha kwenye Kona, mwengine kalaza katikati ya chumba katandika boksi anauwa, mwengine yupo kwenye kilande cha godoro, ilimradi fujo tu
@majizo_jr Uzi mkali sana kwa wale wageni wanaoingia Dar lakini umesahau kwa wanaoingia Dar kupitia Airport kuna chimbo lipo Banana, ukiwa unatokea mjini kuna njia imeingia kabla ya like jengo kubwa jioya hapo shughuli za ujenzi wa taifa zinaanzia saa moja jioni. ⤵️
@xDaily_Know I wouldn't have managed to sit in front off that kind of an evil thing. I'd have teared it apart with my own fucking hands. That woman doesn't even deserve to live with wild animals, shed harm them in any way means
@earadiofm Kwani fullback kazi zao ni kufunga na kuassist au kulinda na kumsaidia kipa wao? Fullback kutoa assist au kufunga haioneshi madhara yake kwa timu pinzani, hiyo ni extra task anayojipatia mwenyewe. Madhara ya full back ni kumficha winger wa timu pinzani asiweze kuleta madhara.
Kwaiyo watu watakuwa wanamuabudu Mungu kwenye msikiti wenye jina la mtu ambae muda huo yupo kwenye billboard pale Surrender akiwa anatangaza Serengeti Lite bariiidi yenye ladha ya kipekee😁
Anaandika @harmonize_tz juu ya kushirikiana na @diamondplatnumz kujenga msikiti kijijini kwao Tandahimba Mtwara.
“Tulikuwa na tabia ya kukumbushana kuwekeza mbele za Mungu ikiwemo kutoa sadaka, mwaka 2018 nilimshauri my brother Naseeb tujenge msikiti huu kijijini kwetu baada ya kutambua wanakijiji wana uhitaji,wana kiu ya mahala pazuri kwa ajili ya kumlilia Mungu wetu kufanya toba”
“Diamond alinipatia pesa ya kuanzisha msikiti huu baada ya shetani kusimama kati na msikiti huu ukasimama mpaka last week Mungu alivyosema shetani inatosha. Alhamdulillah riziki ninapata nimeshatoa bajeti yote msikiti umalizwe haraka iwezekanavyo”
“Inshalaah mpaka kufikia siku ya Eid El Fitr nitafurahi kuona ibada ikifanyika hapa na nimewaomba wana kijiji wenzangu huu msikiti tumeubatiza jina la Masjid Naseeb. Mungu akuzidishie ndugu yangu hujapoteza, Ramadhan Kareem”
#Trending #Harmonzie #DiamondPlatnumz #KondeGang #WCB
@eastafricatv@harmonize_tz@diamondplatnumz Kwaiyo shetani aliingilia kati ujenzi wa msikiti unaojengwa kwa pesa za kishetani ili waumini wasimuabudu Mungu kwenye nyumba iliyokengwa kwa pesa za kishetani. Inawezekana shetani alikuwa na lengo zuri tu 😂😂
@50cent Damn! I was only 15 and I started to love music already. Window Shopper and Candy Shop were my favourite songs.
This is what we call "LEGACY". You've already written your legacy and nothing is gonna erase it. It will be there eternally.
@SkySportsNews Seems he doesn't watch football games to see how horrible referees are these days. Some have shown publicly that they're the fans of certain clubs that they abuse club's arch rivals, some celebrate and give high fives in the VAR rooms when the clubs they don't love concede goals.
@HabariLeo Hata Zanzibar Hilo vazi ni maarufu na lilikuwa linavaliwa muda mrefu tangu enzi za kabla ya mapinduzi. Binafsi nalipenda Sana hili vazi mana hata Bibi yangu maisha yake yote aliyoishi nilimuona anavaa akienda safari yoyote ile. Ila tu kwa Zanzibar hili linaitwa "Baibui la kamba".