Happy Birthday Makamu wa Rais wa Klabu yetu @Arafat__AH π
Tunakuombea afya njema, maisha marefu na baraka tele katika kila hatua ya maisha yako. Furahia siku yako Mwananchi! ππ
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Miaka ya bakuli 2018 mpaka 2020 tulikua tunabeba wachezaji wa mafungu sokoni. Tulipitia ukata ambao hata Lipuli waliweza kutuvimbia sokoni. MASHABIKI tulisimama na timu na tulifanikiwa kumaliza ligi nafasi ya 2 mara zote na hatukuwahi kufungwa na Mtani mfululizo.Wenzetu kulikoni?