#TajiriLaKihaya
Humu ndani huwezi ukaanzisha VITA na RAHMA ukashinda…
Hatuwezi tukakubali… hatuwezi tukakuSupport kwa namna yoyote ile!
Wapwa tutamlimda rahma Ma ASSIST kwa wivu mkubwa saana!
Ushajiuliza kwanini hii CROWN haionekani apa mjini?? Uyu dogo alijificha kwenye biashara ya kuuza iPhone na FOREX,lakini nyuma ya pazia alikua ni Mwizi wa mitaondani...saivi yupo Gerezani💔
Watu wake wa karibu walimchoma.
Siku si nyingi sana nitakuja na uzi wake.