LEO SAA 3 USIKU NDUGU POLEPOLE ATAONGEA NA WATANZANIA.
Sikiliza kwa makini mambo ambayo ataenda kuyazungumzia. Hakika hii sio ya kukosa.
Jana Kikwete alimjibu Polepole kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni. Leo polepole atajibu hoja zake
USIPANGE KUKOSA
REPOST
TUTAKUWEPO🫵😎
Bajeti alipitisha nani?
Na je ni Lini?
Imetokana na sheria ipi?
Kwa wagombea wa vyama vyote zaidi ya 10 gharama za haya magari ni zaidi Billioni,
Tume imetoa fedha kwenye fungu lipi?, au lile la tofali?
#KataaWahuni
Sala ya asubuhi.
Ee Bwana, usikie kuomba kwangu, Kilio changu kikufikie. Usinifiche uso wako siku ya shida yangu, Unitegee sikio lako, siku niitapo unijibu upesi.
Zaburi 102:1-2
“Tutaandika barua kuomba Observers waje kupitia mifumo yetu ya Uchaguzi.
Tutaandika barua ya kuomba kwa udharura African Union, East African Community, Mahakama ya Afrika na Mahakama zingine zote kuweka shinikizo kwa Tanzania kwasababu tumesaini mikataba mbalimbali ya Haki za Kijamii, Haki za kiraia, Haki za Kidemokrasia na Haki za Kiuchaguzi kwenye Dunia hii na Afrika.
Lakini pia tutaandika Barua kwenda kwa Wakuu wote wa Majeshi Tanzania kuwaharifu kuhusu hali ya hatari kwa nchi yetu kwasababu mifumo yetu imeingiliwa.
Tutaandika barua kwa CDF, IGP na vyombo vingine vyote ili wasije kusema haya mambo wahawakuyajua.”-; Mhe. @HecheJohn
Asilimia 98% ya watu waliochangia CCM kwenye Harambee ni watu wa dili, watu wenye vimeo, au wezi katika jamii
wamepeleka pesa CCM ili kuendelea kujenga barabara ya kuumiza wananchi
mfano Ngungu ni Mnec wa Mkoa wa Simiyu Jana amechangia 600 millioni anasema na wafanyabishara
lakini kwenye Video vya Pili ni Malalamiko ya wananchi walinyang'anywa maeneo ya ushi ushimbaji na Ngungu
Jamaa liibia wanawake huko SHINYANGA lakini kwenye mikutano ya HESHIMA kabisa ya CCM ndiye anaitwa pale mbele
Mbaya wanaporana MIC wakati Ngungu amekwenda pale aonekana alikwenda na alitoa pesa, hili hapo baadaye anapofanya masarakasi awakumbushe yeye ni mchangia mkubwa wa chama
kwa maana nyingine Mic ilikuwa inalipia ili Samia aone kila mchangiaji ila baadaye kuwa na fidia ya mchango
Hello, @FIFAcom
I hope this message reaches you well. I am a football fan, and one of my favorite teams in my country is Young Africans Sports Club, commonly known as YANGA.
Our team is led by a president who is also involved in politics. A few weeks ago, he tried to run for a position in his political party but failed to secure it. As football fans, we respected that everyone has the right to be a member of any political party they wish.
On August 12 this year, his political party, in which he had sought a position but failed, held a fundraising event to collect money for their general election campaign to be held this October.
Our club president participated in that fundraising as part of his right to be a member of his party. The problem arose when he announced that he was donating to his political party and claimed that it was our team contributing the money — an amount of $38,000.
Our team consists of people from different political parties, and not all of us support the party to which our president made the donation. By doing so, the president implied, in front of his political party, that the team he leads is entirely composed of members of his party and that we all support it.
OUR RIGHTS HAVE BEEN VIOLATED BY OUR LEADER. We have no one to appeal to in this matter because both his political party and his leadership at the club have been arrogant and dismissive, treating us as if we can do nothing about it.
We are aware that FIFA completely prohibits the mixing of politics with football. As YANGA fans who oppose what our chairman has done, we kindly ask you to help us interpret the rules so that JUSTICE CAN BE SERVED for everyone.
Help us tag FIFA. @FIFAcom
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Jana kila mtu ameona watetezi wa watawala. Ni MAFISADI/Wezi. Mahakama, polisi ni mali zao. Wananchi hatuna mtetezi. Nje ya Chadema, Lissu, Gwajima, Warioba, Butiku, Polepole. Tunaomba mtuongoze kuwaondoa hawa mafedhuli. Viongozi wa dini ndio silaha yetu ya mwisbo
Juni 19, 2017 Harbinder Singh Seth, mmiliki wa kampuni ya Pan Africa Power Solution (PAP) aliyetwaa kitapeli hisa 70% za kampuni ya kufua Umeme ya IPTL na kuchota zaidi ya shilingi 306 bilioni kutoka Benki Kuu ya Tanzania alikamatwa na kushtakiwa.
Harbinder Sigh Seth alikutwa na hatia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuhukumiwa kulipa fidia ya TZS 26 Bilioni kwa kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa udanganyifu ambapo alitunzwa Mahabusu kwa takribani miaka minne (4)
Harbinder Singh Seth (singasinga) aliachiwa huru 16.06.2021 baada ya kulipa Tsh. 200 Milioni ambapo pesa zilizobaki atalipa kwa awamu kwa makubaliano baina yake na (DPP) ambapo atatakiwa kulipa kwa kipindi cha miezi 12 (mwaka mmoja).
05.07.2006 akaunti ya ESCROW ilifunguliwa na kufungwa 05.09.2013 na kuamriwa shughuli za TANESCO zikabidhiwe IPTL... akaunti hiyo ilifunguliwa BoT kuweka fedha za tozo ya uwekezaji, ili pande mbili kushughulikia tofauti zao (TANESCO na IPTL).
Ili TZS 306 Bilioni zitoke Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilikuwa lazima Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Benno Ndullu na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Paymaster General, Dr. Servacius Likwelile watoe ridhaa yao. Ulikuwa mtandao mzito.
Ili bilioni 306 zitoke Benki Kuu (BoT) ilikuwa lazima Waziri wa Fedha, Saada Mkuya ajue na aridhie. Pia, ilikuwa ni jambo la lazima, Rais ajulishwe kuhusu kuchukuliwa pesa katika akaunti za Benki Kuu. Vinginevyo ingelikuwa ni nchi isiyokuwa na utawala
Ripoti ya Kamati ya PAC ilionyesha Prosper Mbena, wakati huo akiwa Msaidizi wa Rais Jakaya Kikwete na baadae mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, aliandika dokezo kwa Gavana wa BoT kwamba Rais ameridhia mabilioni hayo yatoke.
Watu ambao wanayo hatia ya kujipatia fedha kwa udanganyifu na kuchota zaidi ya shilingi 306 bilioni kutoka katika akaunti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Hawa ndiyo aina ya watu ambao wanatumika kuchangia kampeni za CCM katika uchaguzi wa 2025.
Hapa ndiyo CCM wamefika kama chama cha siasa. Hawajali maadili na usafi. Wanachukua pesa yoyote kutoka kwa mtu yeyote ili kutimiza jambo ambalo lipo mbele yao. CCM tena hawatazami pesa inatoka kwa nani. CCM wanatazama pesa ni kiasi gani.
Kama wewe ni mpenda haki na utawala wa sheria kuanzia leo usiungane na wauaji.
Yanga wameungana nao
Wewe unapaswa kukataa
Usinunue jezi ya Yanga
Usiende uwanjani
Usichangie kadi za uanachama
YANGA NI MATAPELI
WANACHANGISHA WATANZANIA KISHA WANAENDA KUCHANGIA CCM🚮🚮🚮
Kiburi huleta maangamizi. Klabu ya Yanga yenye mashabiki kutoka vyama tofauti tofauti jana imewatapikia mashabiki wake ili tu kujipendekeza kwa Watawala. Yanga itaadhibiwa na @FIFAcom kwa sababu ya upumbavu tu wa Viongozi wao. Juzi hapa TFF imetozwa faini katika mashindano yanayoendelea ya CHAN kwa makosa haya haya ya kisiasa. KIBURI KIBURI KIBURI!
Hello @CAF_Online Football in Tanzania is no longer safe. A major club like @Yanga1935 has abandoned sportsmanship and aligned itself with the ruling party (CCM) linked to killings, abductions and persecution of citizens and opposition members. This destroys the image of football
Wakati unapika hapo na Gass ya Taifa Gas kumbuka moja ya wamiliki ni Rostam Azizi
mwezeshaji maarufu wa Samia na CCM
kama wewe ni kamanda anaza kutafakari bidhaa unatumia
Maziwa ya ASSAS, TAIFA GAS , ABOOD, SHABIBY , Mo products zote
haya kama tuko serious na NCHI yetu tuangalie tunakula nini na kununua nini
Kubadilisha mtungi wala sio kazi vile , maziwa yapo kibao na mabas yako kibao
tunaweza pata maisha bora wala sio kwa kuandamana ni kwa kushughulika vizuri sana na walioungana na watesi wetu
Wanawake wa CHADEMA wakifanya maombi njee ya Mahakama mara baada ya kesi ya Mhe. Lissu kuhairishwa hadi Agosti 18, 2025.
Acha tumlilie Mungu wetu tu maana yeye ndo Hakimu wa Haki.😭😭😭😭
I am glad that in the midst of extraordinary hardship, @TunduALissu finds strength in his faith 🙏🏽
Imani ni nguzo muhimu katika harakati hizi! Nafurahi kuona Lissu amesimama imara katika imani yake
Kila mpenda haki kwa imani yake asimame imara ✊🏽
Wakristo tunaamini nguvu ya msalaba na wakatoliki tunaamini katika sala za rozari
Tuombeane na tumwombee Tundu Lissu na tusikate tamaa ✊🏽
Amen!
Hello @CAF_Online Football in Tanzania is no longer safe. A major club like @Yanga1935 has abandoned sportsmanship and aligned itself with the ruling party (CCM) linked to killings, abductions and persecution of citizens and opposition members. This destroys the image of football
Serikali inataka tuamini kuna raia wema sana wanaojua uhaini wa Lissu, waka volunteer taarifa... na sasa watatoa ushahidi kwa siri.. surely?
Kwanini hao raia wasitambulike wapewe tuzo ya heshima kwa kufichua uhalifu?
Taifa lenye miaka sitini halipaswi kuwa la hovyo namna hii.
Wananchi wamegoma KULALA baada ya kuambiwa pesa zao za “TOFALI LA UBINGWA” zimeenda kuchangia UTEKAJI.
Post ya Kuchangia wamefunga Comments. Wananchi wameenda Post ya nyuma yake. Wameenda kudai hela zao.
HATUJAMALIZA KESHO TUTAWASHUGULIKIA VILIVYO KWA PAMOJA.
Soma HASIRA LA WANANCHI 🫵🏾😁
Comments thread.👇🏾
TUTAKUWEPO🫵🏾😎