Niliwahi kusimuliwa na kipenyo mmoja kwa sasa ameshastaafu!!
Anasema Obama alivyokuja 🇹🇿 2013.
Kama ilivyo kawaida ya marais wa mataifa makubwa kama 🇺🇸 wakienda nchi fulani wanaenda na security wao (Secret Service)
tena huwa baadhi wanatangulia kwanza nchi husika kabla ya rais kutua.
Makachero wakatangulizwa ki-homeboi🇹🇿
Sasa wakiwa kwenye kukagua usalama mwanangu (Kipenyo mstaafu) ananambia
jamaa wakali-suspect gari moja lilikuwa limeegeshwa maeneo ya either Kipawa au Majumba 6 ndani lina mtu kama 5 hivi na zina silaha…..Pyuu Pyuu kubwa zile!!
Inasemekana kuna kifaa maalumu….sijui ni satellite au nini, ndio kiliwawezesha kuwasanukia machizi wale na zile silaha!!
Kitu ambacho secret service yetu hawakuweza kugundua watu wale!!
Basi vijana wa Obama wakawatimbia na kuwatia kwenye 18 machizi wale….
wakaishi nao!!
Na tukio hilo lilifanyika kimya kimya bila kushirikisha intelejensia ya ndichi!!
Kwa maana mpaka hapo 👮 👮♀️ 🚔 wetu walikuwa hawajui kinachoendelea!!
Baada ya kuwapekua kila kitu wakawakuta na silaha na BAG 💰 💴
Kumbe mahomeboy walikuwa wametoka kupiga tukio maeneo!! What a coincidence!
Meee kafia kwa muuza 🍲
Kumbuka vijana wa 🇺🇸 lengo lao ni kum-protect rais wao tu, mengine hayawahusu, hivyo walihisi pengine machizi wana dirty mission dhidi ya Rais wao!!
Kumbe machizi wao wana mchongo wao mwingine kwanza hata hawajui kama Barack anakuja nchini!!
Walipojiridhisha machizi sio threat kwao wakajiuliza wawateme au wawakabidhishe kwa EJM….. IGP wa wakati huo!!
Wana wakavuta Tambo makao makuu 🇹🇿
🗣️Oyaaa tumewakamata watu tulihisi ni cheche kwa presidah wetu, ila sio kweli….ila wana kazi chafu mkononi!!
Ibukeni muwadake watu wenu!!
MAHOMEBOYz wakaoza kizembe…..
Inasemekana wa 🇺🇸 walikuwa na chombo inayoweza kuona mpaka ndani ya nyumba na kukagua kila kitu…..technology ambayo kwetu bado….!! Ndomana waliweza kugundua watu wale wenye silaha!!
Na sababu ya kuwachomesha machizi ilikuwa ni kama showoff tu zile za kuwaonyesha secret service yetu kuwa sisi 🇺🇸 tuna technology ya mwaka wa mbele sana!!
Sijui kama ni kweli ilitokea hivi 2013
Au yule Kipenyo mstaafu Katoo shindili!!
Maana wastaafu nao kwa sound!!
Samia ni mjinga alafu ni mhalifu.. wahalifu waliomjaza awalinde hawatamsaidia ICC. Ni mshenzi aliyebaki peke yake na hajui. Muda utamfunza, mshenzi huyu!!
Wakuu kwa uhitaji wa huduma zifuatazo:- Professional business consulting,accounting & financial services, marketing,tax solutions, and strategic business advisory to help your business grow, adapt and succeed nicheck dm au email: [email protected]#MtuKaziSinaKazi
Tutafute Solution ya kudumu, hii hali ya kuzuia movement is not safe economically. Kama kila watu wakitangaza mandamano njia ya kudeal na hiyo kitu itakuwa hivi sio powah.