Mkarim anayeteseka na mapenzi๐๐ง ||Simple Minded||
Dar Young Africans Fan๐๐|| Man United FC๐โค|| FC Barcelona๐ฅ๐ฅ... A dream Chaser๐ฆ๐ณ๐๐.
๐ง๐๐๐ก๐ ๐ฌ๐ข๐จ Milton Nienov
Tunamshukuru Kocha wa magolikipa Milton kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye benchi la ufundi la Klabu yetu na tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya nje ya Young Africans SC.
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko