@Eggle_Vuvu Kinachonishangaza kwa waandiashi wa nchii hii ni kwamba jambo likitokea chadema kama linawafurahisha watala watalizungumzia kwa uzito lakini ngoja litokee ccm hutaskia hata wanasema chochote.
@FKihamu Bima inakuwa nafuu kwasababu,wakati unachangia hatuwezi kuugua wote hivyo pesa yako na wengine ambao hawajaugua itasaidia kuwatibu wengine,ila siku ukiugua huo mfuko wa bima utakusaidia na wewe hivyo hivyo kipind ambapo na wenzako watakuwa hawajaugua,hivyo kuimba kupokezana.
1. Kushuka kwa hiyo popularity inaweza kuwa mtazamo binafsi. Binafsi sioni hilo. Tumetoka kufanya katika oparesheni za chama, tumefanikiwa kusimika chama katika ngazi za misingi. Mtandao wa chama umeenea.
2. FAM ana jukumu kubwa la kufanya akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA 2024/29, kuwaongoza wanachama wa CHADEMA kuyafikia malengo ya msingi ya kuanzishwa kwa CHADEMA.