@mpambazi Mahusiano yoyote yale kama niya kwel basi nia hua zinafanana hadi mtazamo juu ya maisha!!, kama Muke hana maono sawa na Mume ujue ni matapeli wa2 wanaishi chini ya paa moja.
@TweveDevota Sababu za kiafya pia,, ilikuzaa na kuanzisha familia kabla ya changamoto za kiafya kumkaribisha kwa kasi! Mayai yasije kwisha bure maana yanatoka kila mwezi,
@FatmahShokat Ujue bana ukikomaa kihisia kweye jinsia yako Me/ke utagundua mahusiano ni kama maji yanafata mkondo utakutana na jamaa mmoja atatoa maelekezo acha kazi baki nyumbani mengine niachie mimi na utafata bila vurugu hio wala hata sio mbali chaurembo