BREAKING NEWS
Ndondo Cup wazindua Uzi mpya wa msimu wa 10 kuelekea kuanza rasmi jumapili.
Keko Furniture vs Mabibo Market pale uwanja wa Kinesi kuanzia saa 10 jioni buku 2 tu.
@cloudsfmtz@crdbbankplc @crdbbankfoundation @imbejuprogram @mmama_tz @asas_dairies#famasialanini
Tunaposema tunasaidia vipaji usisahau kwamba tunaokoa na maisha pia, lakini hatujawasahau vijana na wanawake kuwawezesha mitaji kupitia program ya #imbeju .
Jumapili hii @ndondo_cup na @mmama_tz tunaanzisha safari ya kuokoa maisha ya Mama wajawazito na waliojifungua.
NDONDO CUP FASHION SHOW AUDITION
Mchuano wa vijana wenye uwezo wa mitembeo na kujiamini kwenye jukwaa la Ndondo Cup Fashion show Audition umefana baada ya vijana wengi kujitokeza.
@lilianemasuka@andersondikson@luludivatz @noelgiotz
@asas_dairies@nawezatz @umbrosouthafrica
Kampuni ya ya kutengeneza vifaa vya michezo @Umbro_SA na @NdondoCup imeingia makubaliano na Clouds Media Group pamoja na SHADAKA Sports Management kutengeneza vifaa vya michezo [jezi na mipira] kwa ajili ya michuano ya Ndondo Cup 2021.
#NdondoCupNaUmbroKit#NdondoCup2021
Pleased to announce that we are the official kit and match ball suppliers of Tanzania's @NdondoCup! π€πΉπΏ
With kick-off on Monday, we're excited to see some of Tanzania's best in the ππ over the coming weeks!
Read more: https://t.co/nN3ben4929
#umbrofootball#umbroafrica