Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 21 September 2022 @samia_suluhu_hassan ameanza ziara Rasmi ya Kiserikali nchini Msumbiji https://t.co/LjsaUNmoXP
Dada queen mwenye sauti ya Mama Mungu akubariki Dada yangu Ahsante kwa kutupenda na zaidi kutujali Dada wa Kaka Saba wavulana halafu nachokupenda huna MBAMBA halafu uko Simba sport club halafu huringi @simbasctanzania https://t.co/uzgyxiysGB
Mhe Mama @samia_suluhu_hassan ahsante kwa kulea Taifa songa mbele wasiokuelewa ni suala la muda hawajui Changamoto za Dunia na Kitaifa unavyopambana nazo https://t.co/sKSpIBSV0W