@Thommunkondya Umeuliza Swali Gumu Sana Wakikupa Majibu Yanayo Eleweka Nitafute Ndugu Yangu Ukiachana Na Izo Ngonjera zao Za Katiba Mpya Ambayo Itatoa nafuu Kwa chadema kushinda Chaguzi
Vijana wa Wanarinda NYETI Zaokuliko Wanavyo Linda ROHO๐
Unakutana na kijana Bodaboda Helement Hana Ila Kavaa pin mkononi๐.
Yร an swala la Nyeti Limewatisha Zaid Vijana wa Dar Kuliko Haya Corona
Sasa nimejua Kiungo Muhimu Zaidi Kwa Mwanaume ni Kitu Gani๐
Umy Mwalimu Sasaivi anawajua Vyema Rafiki Wa Nafasi yake, Rafiki Wa Pesa zake, na Marafiki wa Umy Mwalimu Ambao Wao Waliamua Kuwekeza Kwenye UTU. Leonahakika Kuna Baadhi Ya Marafiki Zake wataomba no ya Umy Upya Wengine wanaangaika Ku unblock Mudahuu so Painful but Haya Ndo Maisha
Sijui Nikwanini Ila Sitamani Kuwa na Marafiki Wengi Wenye Fedha Nyingi
Natamani Kuwa na Marafiki Wachache Sana Wenye Uchumi Wa Kawaida Ila Wenye maarifa,Vipawa na Vision Kubwa ๐๐พ.
Ukizungukwa Na Watu Wa Aina Hii Jiandae Kuwa Mwanadamu Mwenye Nguvu Zaidi...... โ๐พ
๐Familia....Uzuri Nikwamba Anayekupaka Matope Kwa Hira Ili uchafuke Lazima Apate Gharama ya kujisafisha Kwa Sababu Nilazima Nayeye Achafuke.
Familia Amka Ukapambane MCHAFU HACHAFUKI. WATU PORI HATUKATISHWI TAMAA LABDA UKATISHE MAISHA YETU ๐ช
Nitafanya Kesho, Mtaji Sina Wacha Nipate Kwanza Mtaji Ndipo Nianze , Ivi watanionaje Nikifanya namimi Nimsomi!?, Sina connection Hivyo Sito fanikiwa, Nasubili Saport Kutoka Serikalin..๐ญ๐ญNi Kauli Chache Lakini Zimezima Taa za Vijana wenzetu Wengi Sana..Inauma Sana๐
Kuna Tofauti Kubwa Sana Kati ya KUPENDWA, KUPENDA, NA KUPENDANA.
Usipo Kuwa Makini Moja Kati Ya Hivyo Vitatu vinaweza Vuruga Maisha Yako .. Kabla Hujawa Deep Hakikisha unatambua Yakuwa unapotaka Kuhifadhi Moyo Wako Ni Mahari Salama na sahihi.. PENDANENI๐
UWEZO NIKAMA MIMBA
HATA UFICHE TUMBO MUDA WAKUJIFUNGUA UKIFIKA UTAUMBUKA TUU
WATAJITAIDI KUUFICHA UWEZO WAKO USITAMBULIKE MUDA WA MUNGU UKIFIKA HAWATO KUWA NA NAMNA๐๐พ
LIVE TO DAYโ๐พ
Sio Kweli kwamba Wewe Huna Rafiki, Ndugu Au Watu wakarbu Wanao Kufahamu Kwa uzur na Wanao weza Kukuelezea Vizuri kabisa,Hapana Ukweli Nikwamba Unakundi Kubwa Sana Nyuma Yako Ambalo linaamini Kupitia wewe Ni Ndugu na Rafiki wa karibu Sana. Ila utawajua Siku Utakayo Pata Mafanikio.
Utu ndio bidhaa pekee Iliyo adimika Zaidi Kwenye Ulimwengu Wa sasa Kuliko Fedha na Dhahabu.
๐๐พUkipata Rafiki, Mpenz, Ndugu au jirani Mwenye Utu Mtunze Kwa Gharama Yoyote Ile kwasababu Ni Rahisi Mwanadamu KUKUPA Fedha unayotaka Ili Tuu anunue Utu Wako. UTU, UTU, UTU,