@JamiiForums Sababu ipo wazi Dr. Nchimbi @nchimbie ni Mwenyekiti wa Secreterieti ya CCM Taifa na trh 31/8/2024 alikua na kikao hicho na bado anaendelea na maandalizi ya Kikao cha Kamati KUU kwa hiyo aliyeandaa Mdahalo asubiri amalize jukumu Mama la kitaifa @JamiiForums @ccm_tanzani
(3/3)
Tumeshirikisha uzoefu wa nchi yetu na safari yetu katika kukuza rasilimali watu kuanzia mimba inapotungwa hadi mwananchi anapofikia umri wa kutoa mchango wake kwa maendeleo ya Taifa. Pamoja na mambo mengine, tumeshirikishana uzoefu katika mambo tisa ambayo serikali inafanya katika eneo hili:
1. Kutenga fedha kwa ajili ya afua mbalimbali za lishe na huduma za Afya ya Uzazi wa Mama na Mtoto.
2. Kuanzisha vituo vya elimu ya awali (tunaendelea na ujenzi wa shule za awali katika kila shule ya msingi nchini).
3. Mapitio na maboresho ya Sera ya Elimu, mitaala na programu za mafunzo ili ziendane na mazingira pamoja na mahitaji ya sasa ya maendeleo.
4. Uanzishwaji wa Mfuko wa Kusaidia Kaya Masikini, ujulikanao kama Tanzania Social Action Fund (TASAF). Lengo likiwa kupunguza umaskini na kuboresha upatikanaji wa huduma za afya na
elimu. Tangu mwaka 2000, zaidi ya kaya milioni moja zimenufaika.
5. Uanzishwaji wa Programu ya elimu bila malipo kwenye ngazi za elimu ya awali, elimu ya msingi na sekondari kuanzia Kidato cha Kwanza hadi cha sita.
6. Uwekezaji kwenye elimu ya ufundi na mafunzo ya amali, ikiwa ni pamoja na kutoa ujuzi bobezi ili kuongeza tija, ushindani na uwezo wa ndani katika kutumia maliasili za nchi yetu. Sasa tunajenga chuo cha VETA katika kila Wilaya nchini.
7. Kuwezesha vijana kiuchumi kupitia mikopo inayotolewa na Halmashauri kwa Vijana.
8. Kuruhusu Watoto walioachwa masomo hasa wa kike waliopata mimba kuweza kurejea masomoni.
9. Kupitia Wizara ya Kilimo Serikali, inatekeleza Programu ya kuwezesha ushiriki wa vijana katika Kilimo Biashara (Building a Better Tomorrow Youth Initiative for Agribusiness (BBT-YIA). Programu hii inatarajiwa kuongeza ajira kwa vijana kufikia milioni 3 na kuongeza ukuaji wa sekta ya Kilimo hadi kufikia asilimia 10 ifikapo 2030 (Ajenda 10/30).
@FatumaCute Daaah hayo yanatoka moyoni au ni mashairi maana kupata mwanamke mwenye utambuzi huo ni kwa sasa ni ngumu mnooo Mungu akupe mwananaume mwema