Kanipa namba yake jana, leo asubuhi kanitumia meseji "Am Bored"..
Nikamuuliza shida nini , kajibu "Bando langu la mwezi limeisha" akamalizia na vi emoji vya kulia.
Kanipa namba yake jana, leo asubuhi kanitumia meseji "Am Bored"..
Nikamuuliza shida nini , kajibu "Bando langu la mwezi limeisha" akamalizia na vi emoji vya kulia.
Dear wafalme,
Hakuna anayejali kuhusu wewe, hata mimi sijali.
Mtu pekee anayejali kuhusu wewe, ni wewe.
Hudumia familia yako, wapende watoto wako lakini usisahau kutengeneza kwa ajili ya baadae yako.
Dunia imekuwa katili sana dhidi ya wanaume.
Msela weka focus kwenye mapambano ya kifedha na kiuchumi huku ukimtanguliza MUNGU mbele..
Ukiwa unatengeneza pesa vizuri, Trust me rate ya dhambi huwa ni ndogo.
Bila Mawasiliano hakuna mahusiano, Bila heshima hakuna mapenzi, Bila huruma hakuna Upendo na bila kuaminiana hakuna sababu ya kuendelea na Hayo mahusiano