Unasema elimu haijakusaidia wakati saivi ukikopa ili umlipe huyu inabidi ukope kwa yule, kumlipa yule ukope kwa yule na kumlipa yule ukope kwa huyu hiyo sasa ndio CROSS MULTIPLICATION.
Kama unataka kupata hela za kodi za wapangaji, usijenge apartments wala office spaces❌ jikusanyeni wote niwafundishe mbinu ya kuwa Landlord bila KUMILIKI JENGO.
@Isayadicksonjr Point sio Mwananyamala wala Tandale, point kubwa ni wananchi wenye maisha ya chini. Let’s don’t judge mentioned places, let’s judge the LOGIC.