@umwalimu Mama tunaomba watu wapewe hata maelezo basi ya chakula gali wale ili ugonjwa ukimkuta basi awe na nguvu kidogo sio mara moja tuu anakauka ndo Tutaona umuhimu wa kuwa na chama cha madaktari maana kwa mambo kama haya tunatarajia hata vili research vidogo hivi wafanye