Ni kama madame we gi wenye wanastay majuu wanakuwanga Bipolar..
Ni stress za kukaa majuu ama drugs ama loneliness ama nini..
Wote wanakuwanga tuu na ka hasira.
Leo mko sawa mnaongea
Kesho boom hasira, mood attitude.
Hawa watu wanakuwanga sawa kweli?
Mi ushangaa na watu Wana fall in Love na wametana kwa social media na mtu ako mbali na yeye....si hiyo ni ujinga yutman.
Long distance haiwork.
Na huwezi kuwa main guy /chick kwa long distance relationship.
Long Distance Relationship iliniweka hadi Nikajua Time Zone ya America..
Bora ashalala Cheating inaanza alafu b4 5pm ya huku nishasafisa evidence sikaaai kama mtu ameonja kitu the whole afternoon 🤣🤣
Talking stage kama hamko in the same town and you have to make plans to see her, achana nayo, utakuwa tu ukisumbuliwa kichwa na "I wish you were here with me".