@Roma_Mkatoliki Ukianza kufikiri hivyo nu dalili za deeper depression utaanza kujiuliza waafrika tumetokea wapi je! Mungu aliumba watu weusi au ni kweli tulikuwa sokwe? Hivi waAsia walitokea wapi mbona ni ni wanjano? Au kila bara lilikuwa na mwanadamu wake wakwanza