@MariaSTsehai Few days ago nimeota kifo cha mtu mmoja ambaye ni kiongozi kwenye hii Nchi kutoka kwenye mihimili mikubwa ya utawala hapa Tanzania. Zaidi ya mara moja ndoto hii imenijia na ndoto nyingine nitaisema baadae kuna ishara moja naisubiria.
Nimepewa TAARIFA kutoka kwa mmoja WA wasaidizi WA makamu MWENYEKITI @HecheJohn kuwa kuna watu waliojifunika nyuso na magari wanawafuatilia wakiwa njiani kutoka urambo kwenda kigoma
Wakisimama wanasimama
Tukio linalotia Shaka hasa kwa sababu hawakuwa na ya TAARIFA kusindikizwa
Hello Tanzanians kwani ni 26/06 au 7/7 maana naona kumechafuka kila kona🤣🤣
Nimejifunza kitu hapa kwamba tulipo sio pazuri hata kidogo tuna hali mbaya sana.
Hatujazoea milio kama hii kwao ila angalia wanavyolia.
Soon kunapambazuka nimeamini.
Amri ya Patrobas Katambi kuzuia mikutano na shughuli za kisiasa ni batili na haitekelezeki. Amri hiyo inapaswa kupuuzwa na kutendewa kama tamko la mtu mwendawazimu. Taifa letu siyo ghetto la mbogamboga, kwamba wataamua haki zipi tufurahie na zipi ziwe hisani. Aluta continua!
Waziri Wa Mambo ya ndani acha Kuvunja Katiba.
MLINZI WA KATIBA ? AU MVUNJA KATIBA?
Waziri wa Mambo ya Ndani hana Mamlaka yeyote ya Kuzuia au kutozuia Mikutano ikiyoruhusiwa Kisheria. Aidha siyo jukumu la IGP kutoa vibali vya mkutano au ruhisa ya mkutano.
Mukutano ya ndani ya vyama inaratibiwa na vyama vyenyewe na Jukumu la Polisi nikutoa Ulinzi tu.
TLS imepokea kwa mshtuko taarifa hizi na tutakaa na kuona namna ambayo tutachukua hatua za kisheria za ndani ya nchi na nje ya nchi dhidi ya yeyote atakaye jaribu kutekeleza agizo hili Haramu na Batili kwa kukiuka Katiba na sheria za nchi.
Tafsiri
“Guardian of the Constitution… or Its Chief Violator?”
The Minister for Home Affairs has no legal authority whatsoever to prohibit or permit meetings that are lawfully allowed under the law. Equally, it is not the mandate of the Inspector General of Police (IGP) to issue permits or authorizations for meetings.
Internal meetings of political parties are regulated by the parties themselves, and the role of the Police is strictly limited to the provision of security and maintenance of public order nothing more.
The Tanganyika Law Society (TLS) has received these developments with profound shock and concern .
We shall convene urgently to determine appropriate legal measures, both domestically and internationally, against not only against this position but also against any individual or authority who will attempt to implement this unlawful and void directive, in blatant violation of the Constitution and the laws of the land.
BAK MWABUKUSI
PRESIDENT, TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS)
Makamu Mwenyekiti Tanganyika, Mhe. John Heche Anapiga Supa Hadi Maccm wamechanganyikiwa, Huko kwa Kikao Chao Dodoma, Kila Mbunge na Mawaziri wanapambana kumjibu mtu mmoja tu, harafu wanasema kiongozi mmoja wa upinzani🤣🤣🙌🏻🙌🏻
Hongera sana Mhe. @HecheJohn kwa facts kwenye operation na mikutano wameamua kufuta badala ya kujibu hoja wameweka mpira kwapani, Tukutane #Court
#FreeTunduLissu #KatibaMpya
#VideoTheChanzo
Hii tuliifahamu, mbogamboga lazima muogope. Hatimaye mmekimbia magetoni baada ya kupigwa paipu mfululu. Tumewatandika spakoo za kutosha sana. Pumzi ndogo, hamuwezi kufanya siasa za kujibu hoja, mmeomba msaada wa bunduki. Mbogamboga mnachokishuhudia sasa sivyo mlivyotarajia. Kila CHADEMA inapokanyaga ni mtiti, mafuriko. Wananchi wanapambana kwa nguvu kuchangia harakati za chama kupitia TONE TONE. Tunajua ile inawauma sana. MaCCM, mlifikiri kwa kupora uchaguzi, kujitangazia ushindi wa 98% na kujipachikia kura milioni 32, mngetawala bila upinzani na kuizika CHADEMA kisiasa? Uhalali haujengwi kwa kupora uchaguzi, unatokana na ridhaa ya wananchi. Mkaenda kufadhili mashoga zenu (ACT na CHAUMMA) ili washiriki uigizaji wenu wa demokrasia bandia. Baada ya kupora uchaguzi wameshindwa kufanya mikutano ya hadhara. Mbogamboga, hamtaweza kuwanyamazisha watu wote. Sisi siyo mazombi. #KatibaMpya #FreeTunduLissu
It’s my day today ❤️
Cheers to new beginnings, endless blessings and unforgettable memories.
Happy Birthday to me ❤️❤️
#GratefulHeart#GodsBlessings#NewChapter
Ziara Katibu Mkuu Bawacha Mkoani Kagera kwa ajili ya kukagua uhai wa @BawachaTaifa na kushiriki zoezi la uzinduzi wa vizimba imeanza.Hapa nikipokelewa Wilayani Biharamulo na viongozi wa @Bawacha Kanda Victoria na wenyeji Mkt na Katibu Bawacha Mkoa Biharamulo
Hii OUTPUT inatokana na INPUTS!
Hongera sana kwa viongozi wenzangu wa Kanda ya Nyasa wa ngazi zote. Toka Kanda, Mikoa yote 5, Majimbo 32 na Kata na Matawi yote… Chama kiko salama na imara kuliko jana!
#FREELISSU#KatibaMpyaNiSasa#LiMwenyekiti
Hii OUTPUT inatokana na INPUTS!
Hongera sana kwa viongozi wenzangu wa Kanda ya Nyasa wa ngazi zote. Toka Kanda, Mikoa yote 5, Majimbo 32 na Kata na Matawi yote… Chama kiko salama na imara kuliko jana!
#FREELISSU#KatibaMpyaNiSasa#LiMwenyekiti
Asubuhi hii Mlowo imetupokea kwa furaha namna raha.
Nimefurahi kuongea na wananchi wa Mlowo na jimbo la Mbozi.
Watanzania wako tayari kwa mabadiliko makubwa ya uongozi.
Licha Ya Mkurugenzi wa Wilaya ya Tunduma Kuhamisha eneo la mkutano wetu ambapo awali lilipangwa kufanyika Tunduma mjini, na kulipeleka umbali wa takribani kilomita 15 kutoka mjini.
Lakini umbali haujatosha kuwazuia Wananchi wa Tunduma kuja kwenye Mkutano wetu, wamefurika kwa wingi tena bila kusombwa kwenye mafuso wala kupewa posho.
Chadema inapendwa sana, huwezi kuzuia Mahaba ya Wananchi kwa CHAMA CHAO.
Imagine being us..!!
Hapo hakuna kusombelea watu kwenye maroli kama ng'ombe za mnadani.
Hawa ni wapenda HAKI walioamua kushiriki mkutano wa wapigania HAKI (IBADA).
Na baada ya IBADA takatifu ya HAKI, wameshiriki kutoa SADAKA (TONE TONE).
IGA UFE.
REPOST 200.
"Tarehe 30 Oktoba 2025 CCM na Polisi walifanya ukatili sana, waliwakamata vijana ndani na kuwatembeza uchi, wamewagaragaza vijana wetu na kuwaweka ndani." Masaga Pius Kaloli, Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mbeya