@Millan20_tz@Roma_Mkatoliki achana na hiyo GPA yako nimesolve in paper hilo linashindikana for one great reason
the angle between angle A and 50° is unknown labda ufanye kama alichokifanya roma kaamua kutengeneza angle yake A na kuipata 90°
@Millan20_tz@Roma_Mkatoliki alichokifanya @Roma_Mkatoliki sio sahihi
hilo swali lina shida kaka kama ulisoma na kuelewa hesabu za degree na angle hilo swali kuna data haipo