We’re proud to announce that #MansaX Special Funds have surpassed $1 Billion in Assets Under Management.
This achievement reflects the confidence our clients place in us every day. Thank you for choosing Standard Investment Bank as your investment partner.
Here’s to even greater growth ahead.
To learn more about Mansa-X, visit https://t.co/9xot19l7DB
𝐓𝐡𝐢𝐬 𝐖𝐞𝐞𝐤'𝐬 𝐓𝐨𝐩 𝐁𝐮𝐬𝐢𝐧𝐞𝐬𝐬 𝐍𝐞𝐰𝐬 𝐢𝐧 𝐌𝐞𝐦𝐞𝐬:
1. Data form Spotify shows Kenyan men are streaming heartbreak songs 7% more than usual, outpacing women at 5%. Since 2022, heartbreak track plays in Kenya have surged 189%.
#MwangoMemes
"Nilijua nawekeza nimpate pesa, na unafika pale mnasaini mkataba, mwanasheria wa kwake. Nilikwenda kuhakikisha kwa mwanasheria wangu akaniambia iko sahihi, haina shida. Nikasaini nikaingiza hela nikawekeza na yeye kajiaminisha kwenye mkataba kwamba hata ikitokea tatizo lolote atalibeba yeye"- Seraphin Emil Marandu - Mhanga wa Mr. Manguruwe.
#PBCloudsFM
#Tumekuverify
🚨Kwenye mkataba wa miaka mitatu wa Feisal Salum na Azam kuna baadhi ya vifungu ambavyo Yanga waliviweka kwenye biashara hiyo, haikuwa biashara kichaa, kulikuwa na vifungu kadhaa:
1- Kuna kipengele cha kuwa Feisal Salum hapaswi kuuzwa timu yoyote ndani ya Tanzania tofauti na Yanga Afrika, kifungu hiki kipo hai kwa muda wote wa mkataba na endapo ataongeza kusalia Azam FC.
2- Yanga pia waliweka kifungu cha Principle of percentage resale, yaani endapo Azam atamuuza Feisal Salum nje ya nchi basi wao Yanga watachukua 30% ya mauzo na Azam atasalia na 70% yaani Azam wakiuza Yanga anafaidika tena.
Ili Feisal Salum awe huru na vifungo hivyo basi ni mpaka pale mkataba wake utapotamatika na kuwa huru msimu wa 2026/27 ndipo anaweza kucheza timu nyingine yoyote Tanzania.
Kifungu cha kwanza pia Azam wamewekewa na El Merreikh ya Sudan kuwa endapo wanataka kumuuza Golikipa wao Moustafa basi hawapaswi kumuuza Sudan, endapo ni Sudan basi iwe ni El Merreikh.
IKUMBUKWE hakuna ofa yoyote rasmi ambayo Azam wameipokea kutoka kwa Simba na hakuna mazungumzo yoyote ya kimkataba kati ya Feisal na Azam FC.
VISIT MOROGORO🇹🇿