@mangekimambi@POTUS sawa kama tunaaga maiti, lkn ndio umeamua kujibaraguza na kuwa chawa ili usifukuzwe huko? 🤣🤣🤣🤣 laana ya mzee wako bado inakuandama 😄😄😄😄
@mwaipungu24 unajibu hoja ya mtu anayevunja duka la mfanyabiashara kwa ajili ya kuiba?! utamwambia nini kijana huyo ili akuelewe na aache kuiba?
au unataka kumjibu mtu anayechoma moto miundombinu ya Serikali? Wahalifu wa mitaani kuna namna ya kuzungumza nao. Hoja hutolewa na hujibiwa vikaoni
@HecheJohn usitupostie tu kundi la watu, tueleze kama wamechoma vitu, kama wameiba mali za watu au kuharibu miundo mbinu? nyinyi bado ni kundi la vijambazi na Serikali ina haki ya kuwashughulikia na sisi wananchi tunawakataa tumechagua Amani ☮️☮️☮️