NYIMBO BORA YA MAPENZI IMETOKA JAMANI HUKO YOUTUBE HAPATOSHI #KIWEMBE@JohMakini FT @jidejaydee ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐๐ฟ๐๐ฟ LINK KWA @JohMakini https://t.co/RV1c5x6a6B
Which is your fav from ๐@JideJaydee
1. Understanding Ft. TID
2. Wangu Ft. Mr Blue
3. Mawazo Ft A.Y
4. Machozi ya Furaha
5. Teja
6. Usiusemee Moyo
7. Ndi ndi ndi
8. Siku hazigandi
9. Siwema
10. Machozi ya furaha
11. Siri yangu
12. Distance
13. Yahaya
14. Njiwa
15. Nasimama
Unajua laki 2 unaweza kununua kandama kadume kazuri ambako baada ya mwaka unaweza kukauza laki 5 kwenda juu.
Ila laki 2 hiyo hiyo unaweza kununulia watu bia ambao badae watakusengenya ๐๐ค
Usisahau kuwaambia unaowapenda โNAKUPENDAโ Usiache kuwajulia hali mara kwa mara . Maisha ni mafupi sana . ๐ญ๐ญ RIP Mazet Gloria ๐๐พ
Lady Jaydee Feat Mazet, Dj Maphorisa - Give me Love (Official Video) https://t.co/8MyzzfrbxE via @YouTube