@godbless_lema Lema, Lisu, Msigwa na Wenje ni wa puuzi sana hatuna Amani inayotafutwa kwa upanga, umeona palestine, israel na lebanon wamepigana weee lakini wanamaliza kwa maridhiano, msumbiji hapo watu zaidi ya 300 wamekufa lakini maandamano yatamalika mezani na Amani itapatikana!