UKWELI 10 MCHUNGU KUHUSU MAISHA YA WANAUME
1 • Unapokuwa hauna pesa, sauti yako haisikiki.
2 • Unaposhindwa, watu huondoka kimya kimya.
3 • Hakuna anayejali umechoka kiasi gani mradi bado unasimama.
4 • Mwanaume anahukumiwa kwa matokeo, si juhudi.
5 • Hakuna mtu atakayekuja kukuokoa ni jukumu lako kujisimamia. Kila mtu ana mapambano yake, lakini si kila mtu anayejali yako
6 • Maumivu mengi unayabeba peke yako kwa sababu “wewe ni mwanaume.”
7 • Heshima huja baada ya mafanikio, si kabla yake.
8 • Ukitaka thamani, lazima uijenge mwenyewe.
9 • Amani ya kweli huja pale unapokubali uhalisia
10 • Ukikosa mwelekeo, dunia itakusukuma popote