Ngorongoro Legal Aid Center is a Non-profit organization which provide Legal Aid Services to indigent persons, physically and through Online platforms.
Utoaji wa msaada wa kisheria, Wilaya ya Ngorongoro kata ya Oloirien kwa kushirikiana na Mama Samia legal Aid na taasisi mbali mbali za kiserikali. #legalaidteam#watetezitv
NGOLAC kwa kushirikiana na madaktari bigwa kutoka hosptali ya KCMC na CBM wameandaa clinic ya macho na masikio kwa watoto katika Wilaya ya ngorongoro ikiwa leo ni siku ya kwanza huduma hii imefanyika katika shule ya msingi mama Sara iliyopo Wasso.
Ngorongoro legal aid Center (NGOLAC) kwa kushirikiana na madaktari bigwa kutoka hopstali ya KCMC na CBM wameandaa matibabu kwa watoto wenye changamoto ya Macho na Masikio wilaya ya Ngorongoro tarehe 18~20 March 2025
THRDC NA NGOLAC YAKABIDHI MAGODORO KWENYE GEREZA LA LOLIONDO
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Msaada wa Kisheria Ngorongoro (NGOLAC) yakabidhi magodoro na vifaa kadhaa kwa gereza la Loliondo.
Kwa sasa, gereza hilo lina jumla ya wafungwa 80, na mahabusu 21. Mkuu wa gereza, SP George Osindi, aelezea kuwa gereza hilo limejitosheza kwa asilimia 90 kwa upande wa maeneo ya kuhifadhi wafungwa.
Mkutano na Makamishana wa uhamiaji ni kesho tarehe 29 saa mbili na Nusu, Halmashauri Ukumbi Mpya na mkutano mwingine utakuwa Soitsambu tarehe 30 pale Kanisa la Lutheran muda saa mbili na nusu pia . Wenye changamoto za NIDA mtume wawakilishi wenu kwa kila boma. NGOLAC
Leo 28/03/2024. Kituo Cha kutoa msaada wa kisheria Ngorongoro (NGOLAC) kimeshiriki katika kikao Cha wadau cha uwasilishwaji wa maoni katika kuboresha sera ya maendeleo na huduma Kwa watu wenye Ulemavu ya 2004
with disabilities in Ngorongoro and beyond.
in the photo above are Madam Nesia Mahenge, Country Director CBM , Moses Moreto, Head of Disability Desk NGOLAC, Perpetua Senkoro, Head of HRDS with Disability at THRDC and Ezekiel Edward Legal Officer NGOLAC.
NGOLAC 26/3/2024
Between 26 and 27 March 2024 Head of Disability Program under the Ngorongoro Legal Aid Center , Moses Moreto ( with visual impairment glasses in the picture) paid an official visit various disability and human rights organizations such as SideSevers , THRDC-Disability Desk
get the required facilities and equipment that maximize their inclusion to social life. We look forward to exploring further opportunities to work worh with various stakeholders towards our common goal of promoting inclusivity and empowering individual
Kituo Cha msaada wa kisheria Ngorongoro (NGOLAC) Chasikitishwa na matukio ya Mauaji na vitendo vingine vya kikatili, na kulaani vikali matukio hayo na kushauri jamii kufika katika ofisi za NGOLAC zilizopo halmashauri karbu na Mahakama Ili kupata msaada wa kisheria