Nilipingana sana na Magufuli kwa sababu ya VIFO na UTEKAJI wa Raia!
Nitapingana na SAMIA sana tena kwa sababu ya VIFO na UTEKAJI wa Raia!
Nitapingana na SAMIA zaidi kwa sababu anatoka kwetu! Naona AIBU ya ndani ya NAFSI!
Nyie @VodacomTanzania, @airtel_tanzania, @halotel_ta na mitandao mingine, tunafidiana vipi bando zilizozama kutokana na kadhia hii ya kufungiwa internet?
The world may look away. We never will.
๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ธ
Israel is killing more than 2 million people in Palestine without any consequences because it has the cover and support to do so from the USA, UK and EU.
Free Palestine ๐ต๐ธ