@HusseinBashe Wekeni mechanism nzuri vijana wafundishwe na wawezeshwe mitaji, itasaidia sana sasa unakuta chuo kina kila kitu lkn udahili wa mara moja moja km radi, wkt tunachangamoto kibao
@HusseinBashe Lakini kinachoshangaza pamoja na majengo, vifaa na walimu wa kutosha waliopo kwenye hizi MATI mwaka unapita hakuna udahiri, sijui dhana ni kwamba tukidahiri lazima tuwaajiri na hatuna hizo ajira.
@HusseinBashe Mh @HusseinBashe siku ukiamua wizara yako inaweza kutatua tatizo la ajira nchi hii kwa kiasi kikubwa kwa kuwafanya vijana wengi kuwa wakulima wadogo wenye kipato, dahiri vijana kwenye MATI zetu, pamoja na mitaala iliyopo pia wafundisheni kilimo biashara, wapeni mikopo.
@SuluhuSamia Maafisa wa ofisi za Uthibiti Ubora wilaya wapewe pkpk ili watembelee shule,ilivyo ofisi hizi labda zina gari moja hivyo ni changamoto kusambaa kutembelea shule wakati mwingine gari iko na majukumu mengine,maafisa elimu kata wapewe pkpk zenye afya kwakweli, zilizopo dhoofili hal
@SuluhuSamia Maboresho ya mitaala yaendane na upatikanaji wa walimu, ni changamoto shule yenye wanafunzi 600 kuwa na walimu wanne, na zipo. Uboreshaji uendane na kuwapatia vitendea kazi bora walimu, maafisa elimu kata, wilaya na mikoa pamoja na maafisa uthibiti ubora
@EduTalkTz@BobKabeyaTZ Hii nayo umehoji wewe msomi, Lissu hajaonesha sawa, lkn km alivyofanya Mbowe, ni wajibu lkn pia ni haki ya wale wanaotuhumiwa na Lissu kumtaka athibitishe, na mahakama tu inaweza kutusaidia
@sindamwita@MsigwaPeter Sasa mahakamani si ndio sehemu sahihi ya kuwasilisha hizo nyaraka. Msigwa amesema hivi wanaoshitaki watapaswa kuwasilisha nyaraka kurefute yaliyosemwa na Msigwa. Hii imefikia pazuri
@Dr_DGwajima Kwamba DPP ameona jinai mbili tu pale ndio zimetendeka, hakuona yule binti kutekwa,kushikiliwa visivyo, hakuona dawa za kulevya,hakuona organized crime,hakuona makosa ya mtandao,hakuona matishio ya kuua, hakuona matumizi ya silaha. Sometimes muwe serious na maisha ya watu