Akiwa juu ya magari na mbele ya wakenya ni kiburi na majivuno, akienda mbele ya wazungu analia na kulalamika. You either have confidence in the IEBC or you donβt. Choose a struggle my friend.
@WilliamsMkenya Usijali our 5th chunga Kura zako sizibiwe tutakuekea kura waibe na washindwe, sarakasi wanazofanya ni ishara ya kushindwa na sasa wanapanga kukuuibia kura na hio pia,kwa jina la YESU WATASHINDWA.
@JunetMohamed@makaumutua Wewe unaota mchana ukiwa hauko kwa usinginzi,endelea.ngoma iliisha kitambo hustler state House mapema.hayo mnafanya ni sarakasi tupu na vioja,lakini inaruhusiwa.jaribuni mtapata nafasi ya opposition Kama kawa.