Radio Presenter@MintoFm; 101.7Fm/91.7Fm, affiliated to KBC,broadcasting in Ekegusii dialect.
~Writer,poet,Mc,Actor,motivational speaker,Translator and singer.
UBAKAJI!
Mwanaume mwenye umri wa miaka 72-aliyeshukiwa kumbaka mtoto wa miaka 2 katika kaunti ya Kisii amekamatwa. Bw.Ondieki kutoka Ngokoro eneo la Marani, anasemekana kuokolewa na mzee wa kijiji kutoka kwa wanakijiji waliokuwa na hamaki kubwa wakitaka kumwangamiza.