@HildaNewton21@TitoMagoti Milio ni mingi.
Ila binafsi najiwazia ningekuwa huko ningeshalazwa. Unatweet kautumbo kadogo unajibiwa na watu 100. Aisee!
X Republic 🙌
Inaweza ikawa positive au negative wereva lakini CDM wameteka attention ya nchi kuanzia mwishoni mwa mwaka jana mpaka sasa hivi!!
Matukio after matukio!!